Vitu 7 msingi vya nywele kila mwanadada kua navyo.
Mambo ndugu yangu, ni muda kidogo na nimewa miss!!!.... tumeamua blog iwe kwa lugha ya Kiswahili manake si unajua maudhui ni machache kwa lugha yetu wenyewe na instagram yetu kingereza mno! Well we are embracing it! ntatupia...