Natural Hair – Melanin fro Extensions
Kati ya styles zote duniani, si ajabu nikisema nywele nzuri kuliko zote ni za kwangu.. Glad I can say that to the world. Ninapenda sana hiki hiki kipilipili changu..hizi hizi nywele zinazofanana kama brush la bui...